Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma
Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo
wakielekea soko kuu la Chalinze kushirikiana na wananchi kufanya usafi
wa mazingira leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU
kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni
kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe
Joseph Magufuli
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na wananchi wa Chalinze baada ya kushirikiana nao kufanya usafi wa mazingira ya soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli.






Toa Maoni Yako:
0 comments: