Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Dk Hellen Bandiho akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC jijini Arusha na kusisitiza miiko ya uadilifu katika manunuzi ya umma na sekta binafsi.
![]() |
| Wajumbe wakiwa kwenye ukumbi wa Simba |
![]() |
| Wajumbe wa mkutano ambao ni wana taaluma ya Manunuzi na Ugavi wakifatilia mada kwenye mkutano huo leo. |
![]() |
| Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Manunuzi na Ugavi wakifatilia mada kwenye mkutano huo leo. |
![]() |
| Wajumbe wa mkutano wa mwaka wa PSPTB |










Toa Maoni Yako:
0 comments: