Wafanyakazi wa kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga,baada ya kuwapa msaada, ambapo walitoa mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya akiwakabidhi sehemu ya msaada kwa watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga,ambapo walitoa mchele,unga na maharage tani 3.9, mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya akizungumza na watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga wakati wa kutoa msaada kwenye kituo cha kulelea, ambapo mchele,unga na maharage tani 3.9, mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5, kushoto ni Meneja wa Tigo mikoa ya Shinyanga,Tabora na Kigoma Kamara Kalembo na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo (kulia).


Toa Maoni Yako:
0 comments: