Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (katikati), akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kwa wafanyakazi wakati wa kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Polisi, Kilwa road, jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi wakishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kwa wafanyakazi, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Baraza hilo uliofanyika Chuo cha Polisi Kilwa Road jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akifungua  mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi kilichofanyika Chuo  cha Polisi, Kilwa Road jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi wakiwa katika  mkutano Baraza hilo uliofanyika Chuo cha Polisi, Kilwa Road jijini Dar  es Salaam. (Picha zote na Abubakari Akida, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kushoto),  akipokelewa na Maofisa wa Jeshi la Polisi alipowasili Chuo cha Polisi  Kilwa Road, kufungua Kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Jeshi hilo,
jijni Dar es Salaam. 

Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: