Mkuu wa kitengo cha biashara wa Tigo Bw, Shavkat Berdiev akimkabidhi zawadi ya simu mteja mmoja aliyetembelea duka la Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Mkuu wa kitengo cha huduma cha wateja Zakheem khan akifurahi pamoja na mteja aliyejipatia zawadi ya simu katika kusherekea wiki ya huduma kwa wateja zilizofanyika katika duka la Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akifurahi jambo na wateja wa Tigo waliotembelea duka la tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha biashara wa Tigo Shavkat Berdiev na Mkurungezi wa mipango (Mtandao) wa Tigo Bi. Halima Idd wakigawa zawadi kwa wateja wote waliotembelea duka la Tigo Makumbusho jijini Dar es Salaam ambapo wateja wawili walifanikiwa kujinyakulia zawadi ya simu za kisasa.
Meneja wa huduma kwa wateja wa Tigo Charles Gardner akimsikiliza mteja aliyetembelea duka la Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam.Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo waliotmbelea duka la Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
Toa Maoni Yako:
0 comments: