Kaimu Katibu Tawala Raymond Mapunda (wa katikati), amaye ni   Ofisa Elimu wa Dar es Salaam akifunga Mafunzo  kwa waratibu wa Uchaguzi, wasimamizi wa Uchaguzi,wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Maofisa Uchaguzi, Mkoa wa Dar es Salaam leo, ambapo mafunzo hayo yalikuwa ya siku mbili, wa kwanza kulia ni Mratibu Uchaguzi  wa mkoa wa Mary Assey na  kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA.
 Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akizungumza jambo mara baada ya kufungwa mafunzo hayo Dar es Salaam.
 Washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmi mara alipokuwa akifunga mafunzo hayo.
Kaimu Mkuu wa Sehemu Kanda ya Kusini  Crecencia Mayalla, akizungumza jambo na waandishi wa habari baada ya kufungwa mafunzo kwa waratibu wa Uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wa wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo na Maafisa uchaguzi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: