Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt . Gharib Bilal akitambulishwa kwa wafanyakazi wa Fastjet na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (SITE) Jijini Dar Es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (SITE) Jijini Dar Es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt . Gharib Bilal akikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya Swahili International Tourism Expo (SITE) Jijini Dar Es Salaam.
 
Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Fastjet wakiwa kwenye pozi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: