Mkurugenzi Mkuu wa Airtel , Sunil Colaso (wakwanza kulia), Mkurugenzi wa Kitengo cha huduma kwa wateja, Adrian Lyamba(katika) na wafanyakazi  wa Airtel kwa pamoja wakikata keki kuzindua wiki ya huduma kwa wateja  duniani inayoanza rasmi tarehe 5 octoba 2015. Halfa hiyo ya uzinduzi  ilifanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco jijini Dar es Salaam.
Meneja wa kitengo cha huduma kwa wateja, Airtel Tanzania, Bwn  Deo Hugo akiongea wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja uliofanyika katika ofisi za Airtel Makao makuu Moroco, wakifatilia kwa makini ni baadhi ya wafanyakazi waliohudhuria uzinduzi huo
 Meneja huduma katika kitengo cha huduma kwa wateja, Zakia Omary akionge wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja, pichani Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Sunil Colaso (kulia) akiwa na wafanyakazi wa vitengo mbalimbali.
 Wafanyakazi wa kitengo cha huduma kwa wateja wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika
katika makao makuu ya Airtel Morocco jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Sunil Colaso akiongea na wafanyakazi (pichani hawapo) wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: