
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitoa heshima za mwisho kwa Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani katika sala iliyofanyika kwenye uwanja wa jamhuri Mjini Morogoro Septemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Makamu wa Rais, Dr. Mohammed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pind katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani yaliyofanyika Shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa Morogoro Septemba 29, 2015. Kushoto ni Spika wa Bunge Anne Makinda (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitupa udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi Celina Kombani katika mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa Morogoro Septemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Muu).


Toa Maoni Yako:
0 comments: