Afisa Masoko Madogo na Uhusiano Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa
Afrika,Robin Njiru akielezea juu ya huduma zinazotolewa na kampuni ya
Microsoft na koprogram mbalimbali za komputa leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (Cosota), Dorine Sinare
akizungumza na baadhi ya wadau wa proramu mbalimbali za Komputa
leonjijini Dar es Salaam leo.
Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (Cosota), Dorine Sinare akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Program za Komputa leo jijini Dar es Salaam.
---
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.
KAMPUNI ya Microsoft imesema kuwa watuamiaji wa program za komputa zenye kiwango na kujiepusha program ambazo hazina viwango.
Akizungumza na leo katika mkutano wa matumizi ya program za komputa ‘Software’ Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (Cosota), Dorine Sinare amesema kuwa kutumia program za komputa za zilizo bora zitasaidia kuepuka uharamia katika mitandao na serikali kuweza kuongeza mapato yanayotokana na program hizo.
Dorine amesema kuwa wameanza kushirikiana na Microsoft katika kuweza kutoa elimu juu ya matumizi program ambazo halisi na kuachana kwani zinaweza zinaweza kuharibu program zingine.
Amesema Cosota wanadhibiti kazi za ndani na za nje katika kufanya watu waache wasiathiriwe hivyo program za Microsoft ziliindwe wasiweze kufanya uharamia.
Aidha amesema kuna watu wanatumia program za watu bila idhini hivyo wanawafnya watu wengine washindwe kusambaza program hizo.
Afisa Masoko Madogo na Uhusiano Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, Robin Njiru, amesema kuwa wanashirikiana Cosota katika kudhibiti uharamia wa katika mitandao kwa kutumia program zilizopitwa na wakati.
Njiru amesema kuwa Microsft inafanya kazi katika kuhakikisha watu wanapata mawasiliano yenye kiwango kutokana na utoaji wa huduma za program za komputa zenye kiwango.





Toa Maoni Yako:
0 comments: