Mtumishi wa Kanisa la Kirutheli la Kitanzania (K.K.K.T) usharika Kigogo Mchungaji Richard Jackson Kananja akiongoza kikundi cha wanakwaya ambao ni waathirika wa madawa ya kulevya katika maombi ya ufunguzi wa Tamasha la Waathirika wa Madawa ya Kulevya Yatakayo fanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Home
Unlabelled
UFUNGUZI WA TAMASHA LA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA WAFANA JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: