Kutoka kushoto ni  Mkurugenzi  wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali  watu, Sadick Abdalla na Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari  ya Kurasini Florentine Assenga wakipanda miti katika shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
 Waalimu wa shule ya sekondari ya Kurasini wakiwa na viongozi wa TICS kabla ya kuanza zoezi la kupanda miche 250 kwenye eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
 Mfanyakazi wa TICS Slyvester Ntomba (kulia) akijumuika na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kurasini kupanda miche katika eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
 Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kurasini wakipanda miche katika eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: