Margaret Amon Mwaisaga enzi za uhai wake.

Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania standard Newsapapers Limited (TSN), wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Bwana Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Margaret Amon Mwaisaga kilichotokea hospitali ya TMJ tarehe 15.09.2015. Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu mikocheni nyumba namba 87 barabara itokayo Clouds FM kwenda kanisa la Mchungaji Rwakatare na mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kunzia saa sita.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: