Bibi Harusi Gracelokia Kongo akiwa katika sura ya furaha wakati akiingia ukumbini Riverside jijini Dar es Salaam kwa ajili ya sherehe yake ya kuagwa (sendoff) iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita na harusi yake ilifanyika Jumapili ya Septemba 20, 2015.
Bibi Harusi Gracelokia Kongo akimkabidhi zawadi ya ua mumewe Eddy...
Bibi Harusi Gracelokia Kongo akiwa na mumewe Eddy...
Bibi Harusi Gracelokia Kongo akimtambulisha mumewe Eddy...


Wageni waalikwa pamoja na ndugu wakiburudika.

Baba mzazi wa Gracelokia Kongo akiburudika.



Wapambe nao wakitoa burudani...





Toa Maoni Yako:
0 comments: