Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya  ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo  Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho  kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland  ya Uingereza na kampuni ya symbion.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa mmoja wa wasimamizi wa  mradi huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam  leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa kocha wa vijana wa kandanda mwenye kutambulika na FIFA kutoka Uingereza wa mradi huo wakati akikagua maendeleo ya  ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu  jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.
  Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: