Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akionesha umahiri wa afya yake kwa kufanya mazoezi ya Push Ups wakati wa mkutano wa kampeni mjini Karagwe, mkoani Kagera leo.
Dk Magufuli akihutubia na kujinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Nkwenda, wilayani Kyerwa, mkoani Kagera.




Toa Maoni Yako:
0 comments: