Baadhi ya wananchi katika kata ya Kifula ,jimbo la Mwanga wakifuatilia uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa chama cha NCCR-Mageuzi.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, James Mbatia akihutubia katika mkutano huo.
Mke wa mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga,Youngsevier  Msuya,Dorcas Youngsevier akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi wakifuatilia mkutano huo.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, James Mbatia akihutubia katika mkutano huo.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, James Mbatia akimtambulisha Mkurugenzi wa mambo ya nje wa chama hicho na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Ndelakindo Kessy wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Mwanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: