Dk Magufuli tayari hadi sasa amefanya mikutano ya kampeni katika mikoa 6 ya Katavi, Rukwa, Mbeya, Njombe, Ruvuma na Mtwara. ambapo aakishinda uchaguzi ameahidi mambo mbalimbali kama vile ile ya bure kutoka darasa la kwanza hadi kidato cha nne, kujenga reli kutoka Mtwara hadi Mbamba Bay mkoani Ruvuma, kushusha bei ya vifaa vya ujenzi na kutoa sh. mil. 50 kwa kila kijiji za kuwakopesha wanawake na vijana kuendeleza miradi na biashara zao kwa lengo la kuwaletea maendeleo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na ahadi mbalimbali zilizotolewa na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara leo
Wazee wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi katika Kijiji cha Chiungutwa wilayani Masasi, Mtwara leo
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Newara Mjini, George Mkuchika wakati wa mkutano huo.
Mgombea ubunge Jimbo la Newara Vijijini Rashid Akber akiwa na furaha alipokuwa akinadiwa na Dk Magufuli mjni Newara
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kijiji cha Kitama A, wilayani Newara.
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Tandahimba, Shaibu Likumbo.
Dk Magufuli akihutubia katika Jimbo la Nanyamba, wilayani Tandahimba
Picha za Dk Magufuli zikiwa zimeupamba mkutano wa kampeni katika Kata ya Ziwani Mtwara Vijijini leo
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Mtwara Vijijini, Hawa
Ghasia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Ziwani
Mtwara Vijijini
Dk Magufuli akicheza pamoja na wananmuziki wa bendi ya Yamoto iliyokuwa ikitumbuiza kwenye mkutano huo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba akitumbuiza katika mkutano wa kampeni wa CCM mjini Mtwra
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya wenye ulemavu nchini, Amon Mpanju akielezea jinsi Serikali ya CCM inavyowajali watu wenye ulemavu hivyo kuwataka wananchi kumchagua Dk Magufuli katika uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
Dk.Magufuli akimnadi Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Murji.


Toa Maoni Yako:
0 comments: