2. Anajua dunia inaenda wapi.
3. Anajua mgogoro wa Rusia na Marekani ni wa kibiashara na kiuchumi na si aggressiveness over Ukraine.
4. Anajua viongozi wanaficha hela nje ya nchi kwa kujidai wao ni wawekezaji wa kizungu kumbe ni watanzania (ndio maana nchi yetu inaitwa bongo, yaani watu wamekalia wizi tu hawafanyi Kazi)
5. Anajua uagizaji wa bidhaa, Madawa,ving'amuzi,simu,bodaboda,saa,nguo,makochi, samaki,nyama na matunda. Unawapa mataifa ya nje faida kubwa sana ukilinganisha na vimsaada wanavyotupa.
6. Anajua mataifa yanachukua malighafi bila kulipa kodi hata shilling moja ili kufisha siri za ufisadi kwa viongozi.
7. Anajua bila umeme wa uhakika na nafuu hakuna Mapinduzi ya viwanda Tanzania.
8. Anajua ISIS,boko haramu,alshababu ni propaganda tu za mataifa ya magharibi ili wapate mafuta in exchange ya silaha.
9. Anajua kwasasa uchumi wa bahari, I mean usafirishaji wa bidhaa na meli unaendeshwa kwa mtutu wa bunduki.
10. Anajua Tanzania bila ufisadi itaongoza bara la africa kwa uchumi imara kabisa.
11. Trans Africa railway kutoka Dar es salaam to Congo Brazzaville itaifanya Dar es salaam kuwa dubai ya Africa.
12. Anajua kabisa kilimo si mkombozi wa MTANZANIA bali elimu bora ya bei nafuu itakayomwezesha mtanzania kutambua fursa zinazomzunguka.
13. Anajua kabisa watanzania wengi wamesoma lakini hawana exposure.



Toa Maoni Yako:
0 comments: