Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akipokea msaada huo kutoka WHO. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Nchini Dk. Rufaro Chatora.
Taarifa ikitolewa kabla ya kupokea msaada huo.
Hapa wakitiliana saini mkataba wa kupokea msaada huo.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Nchini Dk. Rufaro Chatora (katikati), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (kushoto), dawa ya maji zenye thamani ya sh.milioni 42.2 zilizotolewa na WHO kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na magonjwa ya mlipuko nchini, Dar es Salaam leo asubuhi. Anayeshuhudia tukio hilo kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uhakiki na Ubora wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Mohamed Ali Mohamed.


Toa Maoni Yako:
0 comments: