MAELFU ya wananchi waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea kiti cha Rais wa Jamhuri kupitia CHADEMA, anayewakilisha vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananci UKAWA, Mh. Edward Lowassa, pale Jangwani jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Agosti 29, 2015

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.

Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, walipokuwa wakiwasili viwanjani hapo, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015.
Wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA wakiwashangilia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, walipokuwa wakiwasili viwanjani hapo, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015.

Wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA wakionyesha furaha yao kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa.
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipowasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015.

Sehemu ya Wanahabari kutoka Vyombo mbali mbali nchini wakiendelea kuchukua habari za Mkutano huo, uliofanyika jioni ya leo kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam na kuhudhulia na maelfu ya Wakazi wa jiji hilo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akimkabidhi, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, Kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya Chama hicho kwa mwaka 2015/2020 mara baada ya kuizindua, leo Agosti 29, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wakionyesha vitabu cha Ilani ya Uchaguzi mara baada ya kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe.

Viongozi wa Vyama mbali mbali vinavyounda UKAWA wakionyesha Ilani hiyo mbele ya maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam, leo Agosti 29, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (kulia) akiwatambulisha baadhi ya Wagombea Ubunge katika Majimbo mbali mbali ya jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Mh. James Mbatia akizungumza kwenye Mkutano huo.
Watu wa Msalaba Mwekundu wakiwa wamembeba mmoja wa wakazi wa Jiji la Dar aliepoteza fahamu kwa kukosa hewa kutokana na uwingi wa watu uliofurika kwenye viwanja vya Jangwani, Jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2015.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akitoa salamu zake kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam waliofurika kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2015..

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia katika Mkutano huo wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, uliofanyika leo Agosti 29, 2015.
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia katika Mkutano huo wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, uliofanyika leo Agosti 29, 2015.

Mmoja wa wanasiasa wakongwe waliotoka CCM, Tambwe Hiza akisalimia.
MAELFU ya wananchi waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea kiti cha Rais wa Jamhuri kupitia CHADEMA, anayewakilisha vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananci UKAWA, Mh. Edward Lowassa, pale Jangwani jijini Dar es Salaam Jumamosi Agosti 29, 2015
---
MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, akiwakilisha vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, Mh. Edward Lowassa, amesema akichaguliwa kuwa rais, vipaumbele vyake ni Elimu, Miundombinu, Kilimo na Afya.
Akizundua kampeni hizo leo Jumamosi Agosti 29, 2015, kwenye mkutano uliovunja rekodi kutokana na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu pale Jangwani jijini Dar es Salaam, Mh Lowassa amesema, kipaumbele chake cha kwanza ni Elimu, Elimu, Elimu, akifafanua kuwa maendeleo yoyote pale Duniani yanakuwepo endapo wananchi wake wamepata elimu bora.
“Serikali ya UKAWA, itatoa elimu bure kuanzia ile ya msingi, sekondari na vyuo vikuu.” Alifafanua. Pia alisema, UKAWA, itazingatia suala la Kilimo kwa kuwa ndio eneo litakalotoa ajira nyingi kwa watanzania na kilimo chenyewe kitakuwa kile cha kisasa cha kutumia mashine na umwagiliaji.
Pia UKAWA itaangazia suala la mawasiliano ya barabara na reli, ambapo kwa kuanzia itahakikisha reli ya kati inajengwa upya kuanzia Dar es Salaam, Kigoma hadi Mwanza.
Hali kadhalika UKAWA itaangazia pia suala la afya ambapo hospitali za kisasa na zenye vifaa vitakavyotoa huduma iliyo bora zitajengwa maeneo ya vijijini na sio mijini tu, “ Tunataka watanzania watibiwe hapa hapa nchini kwa kupata huduma za afya zilizo bora hadi vijijini na sio watu wachache tu wenye uwezo kwenda kutibiwa nje na wanhyonge wanabaki kupoteza maisha.” Alifafanua.
Hata hivyo katika hotuba hiyo ambayo ilikuwa fupi, amesema mengi yanapatikana kwenye tovuti ya CHADEMA, ambapo ilani kwa ukamilifu wake inapatikana humo.

Toa Maoni Yako:
0 comments: