Meneja Mkuu wa wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. David Nsimba (katikati) akizungumza na wateja aliyewatembelea ofisini kwao katika maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Kantante Cornerio akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya  nchi, Bw. Regina Lema akihudumia wateja waliohudhuria katika  ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Saada Selemani akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya  nchi, Bw. Jacquline Mbise akihudumia wateja waliohudhuria katika  ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,  Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya  Kilwa jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: