Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi mpya wa
kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole mkoani
Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14
aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es salaam na kuzikwa leo kijijini
hapo.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akitolewa nje
baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo kijijini Kinole
mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu
wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es salaam na kuzikwa leo
kijijini hapo.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akichomeka fimbo yake ya Uchifu kabla ya kuketi meza Kuu na Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es salaam na kuzikwa leo kijijini hapo.
PICHA NA IKULU







Toa Maoni Yako:
0 comments: