Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dr. Mohamed Ali Shein (kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula,(kulia) na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (Watatu kushoto) wakati wa ufunguzi wa kukao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM kilichoijadili ili kuipitisha ilani ya CCM 2015-2020 katika ukumbi wa White House uliopo makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiipitia ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2015-2020 wakati wa kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM(CC) kilichoijadili na kuipitisha ilani hiyo leo jioni.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ya CCM akiwemo Makamu wa Wapili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Sefu Ally Iddi,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Anna Makinda na wajumbe wengine waliojadili ili kuipitisha ilani ya CCM 2015-2020 leo katika ukumbi wa White House uliopo makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Picha na Freddy Maro.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: