Mheshimiwa John Nchimbi katika kukamilisha miaka yake mitano ya ubunge wake 2010 - 2015, kwa kumkabidhi Makamu mwenyekiti wa Majimaji John John Nchimbi gari kwa ajili ya timu ya Maji Maji FC, Mhe. Nchimbi amemshukuru rafiki Paul Hinks kwa kufanikisha kupatikana kwa gari hilo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: