Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiongea na wanahabari mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mchana huu wakitokea Dodoma na kupokelewa kwa shangwe na umati wa makada wa chama hicho.
Dk. Magufuli akizungumza wakati wa mapokezi yake, kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam
Wananchi kwa maelfu wakiwa wamefurka kwenye Viwanja vya Zakhem, Mbagala, Dar es Salaam, wakati Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli (kushoto), alipowahutubia kwenye viwanja hivyo wakati wa mapokezi yake.





Toa Maoni Yako:
0 comments: