Kijana Abel Machanga mwenye umri wa miaka 24 amelazwa Hospital ya Taifa Muhimbili Wodi ya Sewahaji,chumba namba 19, Kitanda namba 28 kwa tatizo la
uvimbe kwenye ubongo ambalo limesababisha macho yake kutoka nje.

Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.

Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali, tunaomba misaada yenu kupitia kwa  kaka wa Abel  Bw.Christopher Machanga kwa namba

Tigo 0655 54 56 67
Airtell 0784 54 56 67
Voda 0755 54 56 67

SHIME WATANZANIA TUJITOE KWA MOYO KUOKOA MAISHA YA MWENZETU NA
KUPUNGUZIA MATESO MAKALI ANAYOKABILIANA NAYO KWA SASA.  TUNATANGULIZA SHUKRANI.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: