Baadhi ya wafanyakzi wa Tigo na watoto wa kituo cha yatima cha
Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni
ya Tigo makao makuu.
Meneja wa Rasilimali Watu wa Tigo Catherine Olaka akitoa zawadi kwa watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke mara baada ya kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu Jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo wakiwa kwenye picha ya
pamoja na watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke.
Katibu wa kituo cha watoto yatima cha Al-Madrasat Nurhud, Ustadhi
Ukese Said akihojiwa na waandishi wa kituo cha Itv mara baada ya futari
Meneja mkuu msaidizi wa Rasilimali wa Tigo , Doris Luvanda akihojiwa na waandishi wa kituo cha Itv mara baada ya futari.







Toa Maoni Yako:
0 comments: