Mmoja wa Waimbaji mahiri wa nyinbo za Injili, Jenifer Mgendi akiimba mbele ya wapenzi na washabiki wa nyimbo zake katika uzinduzi wa  dvd yake ya Wema ni akiba, uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar .
Wa pili pichani ni Askofu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God, Dr. Barnabas Mtokambali akiionyesha dvd ya Jennifer Mgendi ya Wema ni akiba baada ya kuizindua Jumapili iliyopita. Kulia ni Katibu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God Mchungaji Ron Swai.
Baadhi ya Watumishi wa Mungu wakiiombea baraka dvd ya Wema ni akiba wakiongozwa na Dr. Barnabas Mtokambali.
 Jenifer Mgendi akiiimba kwa hisia katika uzinduzi huo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: