Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa Skafu na Kijana Chipukizi Pili Hassan Suluhu mara alipowasili   katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa  kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akivalishwa Skafu na kijana chipukizi Pili Hassan Suluhu mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma akiwa na Mumewe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee wa CCM alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
 Wananchi na wanachama wa CCM mbali mbali wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein waliojitokeza katika Barabara ya Michenzani kwa mapokezi makubwa wakati akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na wanachama wa CCM mbali mbali   waliojitokeza  katika Barabara ya Michenzani kwa mapokezi makubwa wakati akitokea  Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi na wazee wa CCM wakimuombea dua marehemu Mzee Abeid karume katika kaburi lake huko Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugembea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kutia CCM.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugombea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kutia CCM.
[Picha na Ikulu.]
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: