Watoa huduma kwa wateja wa Kampuni ya Tigo wakiendelea na huduma zao kwa wateja waliohudhuria kwa wingi banda la Tigo kwenye maonesho wa kimataifa ya sabasaba jijini Dar Es Salaam.
Msanii wa bongo fleva Shilole, alikuwa mmoja kati ya waliohudhuria banda la Tigo kwenye maonesho wa kimataifa ya sabasaba jijini Dar Es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: