Baadhi ya watu waliohudhuria kwenye banda la chama cha wanasheria wanawake (TAWLA) kwenye maonesho ya kimataifa sabasaba
 Mkurugenzi wa Programu wa TAWLA, Naseku Kisambu akitoa maelezo kwa watu waliohudhuria banda lao kwenye maonesho ya sabasaba jinsi gani Tawla inavyosaidia kisheria.
 Afisa habari wa TAWLA Goodness Mrema akitoa maelezo kwa watu waliohudhuria bandani kwao.
Mkurugenzi mtendaji wa TAWLA, Tike Mwambipile akihojiwa na mwandishi wa Tbc kwenye maonesho ya kimataifa sabasaba.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: