Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Salvatory Alute (wa kwanza kushoto) akiteta jambo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA).
Afisa wa Time Bw Alute akiongea kwenye mkutano wa kujadili ushiriki wa WWU katika mchakato wa chaguzi kwa mwaka uliofanyika (leo) 26/06/2015 kwenye hotel ya Blue Pearl jijini Dsm.
 Mkalimani wa viziwi (aliyekaa mbele kulia) akitafsiri jambo kwenye mkutano huo.
 Washiriki wakichangia mada katika mkutano huo.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: