Aliyekuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa (UN), Balozi Dkt. Augustino Mahiga (kulia), akizungumza na wadhamini kushoto ni katibu wilaya na kulia aliyekuwa Katibu wa Bunge Geroge Mlawa (MSTAAFU)
Aliyekuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa (UN), Balozi Dkt. Augustino Mahiga (kushoto), akipokea fomu ya wadhamini kutoka kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni, Athumani Shesha, Dar es Salaam juzi, alipokwenda kuomba wadhani katika wilaya hiyo. (Na Mpigapicha Wetu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: