Afisa Ustawi wa Jamii Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa Bw.Edger Senga akifafanua jambo kuhusu masuala ya maafa kwa mmoja wa wananchi wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyoanza rasmi Juni 16, 2013 katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw.Issa Nchansi akiangalia machapisho alipotembelea Idara ya Maendeleo ya Sekta Binafsi, Uwezeshji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyoanza Juni 16 hadi 23, 2015 katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Regina Kikuli akiongea na Afisa Ustawi wa Jamii Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu wa Maafa Bw. Edger Senga kuhusu masuala ya maafa wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: