Meneja biashara CRDB tawi la Arusha, Rose Mkumbwa (kulia) pamoja na wafanyakzi wengine wa Benki hiyo wakiwapa zawadi watoto ambao ni wateja wa benki hiyo kupityia akaunti ya wateja wa account ya Junior Jumbo wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika mjini Arusha jana.

Mkurugenzi wa CRDB tawi la Arusha Chiku Issa wa pili kutoka kulia (Alie beba mtoto) na Meneja biashara tawi la Arusha Rose Mkumbwa (kulia) wakiwa na wateja wa account ya Junior Jumbo, wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika.


Meneja biashara CRDB tawi la Arusha, Rose Mkumbwa akizungumza na mtoto Collins Godwin.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: