Kwa mfano wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu moja (1,000/-) feki anataka kalamu ya shilingi 2,00/- ...wewe bila kujua unaichukua lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kwenda kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 1000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi mia nane (800/-) na kalamu, lakini baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 1,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 1200
B. 1800
C. 1000
D. 2000
E. 800
F. 200
G. Majibu yote si sahihi



1000
ReplyDelete