1. WASICHANA WAFUPI wanaongoza kwa WIVU wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.

2. WASICHANA WAREFU huwa hawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjika, na hawajui kubembeleza hata kidogo, yaani bado wao mbulula.

3. WASICHANA wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE, MBINUKO, MA- HIPS NA KITEMBE hawa wanaogoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi na simu zao mara nyingi
wanaziwekea "password" huwezi kusoma meseji zao.

4. WASICHANA WANENE wanaongoza kwa mapenzi ya kweli yaani akipenda
amependa kweli.

5. WASICHANA WEMBAMBA hao huwa ni WABISHI sana na huwa wanaongoza kwa kutendwa.

6. WASICHANA WEUSI Wanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe.

7. WASICHANA WEUPE wanaongoza kwa KUZALIA KWAO NYUMBANI, na hawa weupe sana uolewa wakiwa na watoto tayari.

Ukibisha Umeumwa, Ukinyamaza imekuhusu.👌👌
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: