Kiongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo Zitto Kabwe, akisalimiana na vijana wa Mafinga, Mkoani Iringa jana mara baada ya mkutano wa hadhara kwenye ziara ya chama hicho inaoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Kiongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wakazi wa mji wa Iringa na Vitongoji vyake jana, ambapo ameibua ufisadi wa Sh.54 Trillioni kwenye ujenzi wa bandari ya Mwambani Mkoani Tanga. Picha na Mpigapicha Wetu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: