paroko  wa  kanisa la  anglikana  ludewa  Andrew  Hiluka kushoto
akilishwa  chakula na mbnge  wa   jimbo la  Ludewa Deo  Filikunjombe
kulia  huku mkuu wa  mkoa  wa Njombe Dr Rehema Nchimbi akimsaidia
kushika sahani ya  chakula jana  baada ya  mbunge  huyo na mkuu  wa 
mkoa  kuwaandalia chakula wagonjwa  wote  wa  hospitali ya  wilaya ya
Ludewa
Mbunge  wa  Ludewa  Filikunjombe  akiongoza  msafara  wa  viongozi  mbali  mbali  akiwemo mkuu  wa  mkoa wa Njombe Dr Nchimbi kutembelea   wagonjwa hospitali ya wilaya ya  Ludewa
Filikunjombe na Rc njombe wakitoa msaada  wa  vitu mbali mbali kama sabuni , mafuta na taulo kwa  wagonjwa  waliyelazwa hospitali ya wilaya ya  Ludewa jana
watoto  wa mbunge Filikunjombe   wakishirikiana na  Rc  njombe  kutoa msaada kwa wagonjwa
Dr  nchimbi na filikunjombe  wakitoa maada wa  chakula na vitu mbali mbali kwa  mgonjwa

mtoto  wa  filikunjmbe akitoa maada wa chakula kwa  mgonjwa
rc njombe  kulia akimlisha chakula  mgonjwa huku  mbunge  filikunjombe  akimsaidia  kushika bakuri
 mbunge Filikunjombe  akimsikiliza mkuu  wa mkoa  wa Njombe Dr nchimbi  wakati akizungumza na  wagonjwa katika hospitali  ya  wilaya ya  Ludewa
 katibu  mwenezi mkoa  wa njombe honoratus  mgaya na mkuu  wa mkoa wa njombe dr  nchimbi wakitoa chakula kwa wagonjwa

 mkuu  wa  wilaya ya  ludewa bw anatory chowa  akitoa maada wa  vitu mbali mbali kwa mgonjwa  hospitali ya ludewa

filikunjombe  akiwa amempakata  mtoto katika  hospitali ya wilaya ya  ludewa
 filikunjombe akitoa msaada  wa  chakula

 mkuu  wa  mkoa  njombe  akila  chakula  na mgonjwa

 filikunjombe  akila  chakula na mgonjwa



 DC Ludewa akila  chakula na mgonjwa 

mwanahabari  wa  TBC Iren Mwakalinga  akila  pasaka na  wagonjwa  hospitali ya  wilaya ya Ludewa






  mbunge  wa Ludewa  Deo  Filikunjombe wa  pili  kulia akishiriki  kula chakula   na  wauguzi pamoja na mmoja kati  ya wanawake waliolazwa katika  wodi la  wanawake waliojifungua kwenye  hospitali ya  wilaya ya Ludewa  wakati  wa  sikukuu ya pasaka
 MWALIMU  DOMINIC HAULE  AKILA  CHAKULA NA  WAGONJWA
 MBUNGE FILIKUNJNOMBE KATIKATI AKILA  CHAKULA NA MUUNGUZI NA MGONJWA  KUSHOTO
 ZIARA  YA  MBUNGE FILIKUNJOMBE NA RC  NJOMBE KWENDA  KULA  CHAKULA NA  WAGONJWA
FILIKUNJOMBE  AKIFURAHI WAKATI WAUGUZI  WA  WAGONJWA  WAKIMSHANGILIA
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: