Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali  Pengo, akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika   Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam,  Katikati aliyeshikilia msalaba huo  ni Padri Audax Kaasa wa kanisa hilo. (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)
 Mtoto Benedicta Mushi, ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Masaka English Medium  akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu,  kulia kwa mtoto huyo ni Baba mzazi Philip Mushi
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe, akikomunika Ekaristi Takatifu  katika Kanisa  Kuu Katoliki  la Mt. Joseph Dar es Salaam
Meneja Miradi Jimbo la Mtama Wilaya ya Lindi, Paul Maokola akibusu mkono wa  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali  Pengo,  wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam  kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Mtama, mkoani  Lindi  Bernad Membe
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: