Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimtambulisha Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary kuwa mrithi wake wa kiti cha ubunge katika jimbo hili wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi oktoba.
Ndesamburo akizungumza na wananchi wa Moshi mara baada ya kumtangaza mrithi wake katika jimbo la Moshi mjini. 
Mstahiki Meya a manispaa ya Moshi,Jafary Michael akihutubia mamia ya wananchi waliofika katika mkutano huo uliofanyika katika viwanja vilivyoko jirani na soko la Manyema.
Mamia ya wananchi wakimsikiliza Ndesamburo.
Mstahiki Meya, Michael akiwa amekaa kando ya Mbunge , Philemoni Ndesamburo .

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: