Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Scolastica Kevera akikabidhi jezi kwa Nahodha wa Timu ya Twiga, Abuu Nidobaada timu hiyo kuzishinda timu katika mechi zilizopigwa katika uwanja wa twiga Tabata Kiswani Jijini Dar es Salaam.
---
Na Mwandishi Wetu.

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Scolastica Kevera amesema kuwa yeye ni mwanamichezo ndio maana amejitoa kusaidia vijana katika sekta ya michezo kwa kutambua michezo ni ajira.

Akizungumza hivi karibani, Scolastica amesema ataendelea kujitoa kwa vijana katika michezo iliwaweze kufika mbali na kuweza kusaidia watu wengine.

Scolastica amesema vijana wa kijituma katika michezo wanaweza kupata mafanikio na kuweza kusaidia nchi kwa uchumi kupitia michezo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: