Mwalimu anawauliza wanafunzi wake huwa wanafanya nini wanaporudi kutoka shule!?
Wa Kwanza; "Mimi huwa nakwenda kwa Paul Hermany kununua bangi!
Wa Pili; "Mimi huwa nakwenda kwa Paul Herman kununua madawa ya kulevya!
Wa tatu; "Mimi huwa nakwenda kwa Paul Herman kununua Gongo!
Wa nne; "Mimi huwa nakwenda kwa Paul Herman kununua mirungi!
Wa tano; "Mimi huwa nakaa tu nyumbani na kujisomea vitabu!
Mwalimu; "Hongera sana kijana, una akili sana wewe! Unaitwa nani!?
Kijana akajibu; "Naitwa Paul Herman.



Toa Maoni Yako:
0 comments: