Mwaliko wa Pasaka:

Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya Pasaka nyumbani kwetu.Nakutegemea kama Rafiki wa karibu.

Jinsi ya kufika; Panda gari la Gongo la Mboto shuka Gongo la Mboto mwisho halafu chukua magari ya kwenda Pugu Kajiungeni. Shuka mwisho wa gari halafu panda vigari vya kwenda Kisarawe. Teremka kituo cha "kwa Njovu".

Ukifika hapo chukua Bajaj mwambie akulete kwa Mama Lujina. Ukishafika hapo panda pikipiki mpaka Kisarawe Social Hall.Ukifika kuna baiskeli mwambie akulete hadi Uwanja wa Fakhi.

Ukifika angalia mbele kuna msikiti pita kichochoro mbele utaiona shule ya msingi Ndama. Nyuma ya shule ndiyo kwetu nakusubiria tusherehekee wote.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: