Kuna ajali imetokea muda si mrefu maeneo ya Ngilori na tabu hotel katika wilaya ya Gairo kati ya fuso iliyokuwa imepakia watu waliotoka msibani na gari kubwa aina ya semi uso kwa uso idadi kamili ya watu waliopoteza maisha bado sijapata maana ni ajali mbaya sana. Nitawajuza zaidi kinachoena kuwatumia picha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: