Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.

Waandishi wa habari wametakiwa kuelimisha masula mmbalimbali yanayohusu unyanyasaji wa kijinsia na kukuza uhamasishaji wa masuala ya haki za afya ya uzazi ili kuweza kuleta mabadiliko katika jamii.

Akizungumza na waandishi wa habari waio katika mtandao wa unyanyasaji wa kijinsia na kukuza uhamasishaji wa masuala ya haki za afya ya uzazi , George Mutasingwa wa Shirika la Kiswedish linalojihusisha na shughuli za elimu za jinsia (RFSU) kwa niaba ya Mneja wa mtadi wa TMEP, alisema ni muhimu kwa waandishi kuzungumzaia masuala ya uzazi na jinsia.

Alisema mtandao wenu utakuwa na muhimu kwa taifa katika kutoa elimy masuala ambayo yapo kila siku ya unyanyasaji wa kijinsia na kukuza uhamasishaji wa masuala ya haki za afya ya uzazi
 Waandishi wakifuatilia semina.
Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la RFSU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: