Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akiwahutubia wanafunzi wenzake waliosoma katika shule ya Ilboru ya Arusha katika chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi kuchangia ukarabati wa majengo cha shule hiyo . Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa kitengo cha Masoko Mfuko wa Pensheni cha GEPF, Aloyce Ntukamazina, akizungumzia unufaikaji wa mafao ya mfuko huo [pindi unapojiunga nao wanajumuiya ya wanafunzi waliosoma katika shule ya Ilboru waliokutana katika chakula cha jioni kuchangia ukarabati wa majengo ya shule hiyo yaliyochakaa kupita kipimo. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.
Wanajumuiya ya wanafunzi waliosoma katika shule ya Ilboru wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipokuwa akiwahutubia katika chakula cha hisani cha kuchangia ukarabati majengo ya shule hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: