Tangu mashindano ya Miss Tanzania yaanze mwaka 1994 hadi sasa warembo 20 wamefanikiwa kunyakua taji hilo. Kati yao watano ni wachagga na 15 wanatoka makabila mengine.

1. Miss Tanzania mwaka 1994 - Aina Maeda (Mchagga).

2. Miss Tanzania mwaka 1995 - Emily Adolph (Mchagga).

3. Miss Tanzania mwaka 1996 - Shose Sinare (Mchagga).

4. Miss Tanzania mwaka 1997 - Saida Kessy (Mchagga).

5. Miss Tanzania 1999 - Hoyce Temu (Mchagga).

Sasa nyie mnaosema wachagga wabaya sijui hawana shepu mbona mmeshindwa kuchukua hata taji la Miss Yombo vituka?? Hao wazaramo mnaowasifia kwa shape mbona walimtoa bibi Sitti Mtemvu akashindana na wajukuu zake kwenye umiss Tanzania.. lol

Wachagga ni wazuri na tunajikubali. Kutoa mamiss Tanzania watano kati ya 20 (sawa na asilimia 25%) ni ishara tosha kuwa we run the beauty of this country.. Mnaosema wachagga wabaya mjipange upya.!!

Tuma kwa wadada wote wa kichagga kuappreciate their beauty na wanaume wa kichagga wajue dada zao ni almasi.. Hakuna kuoa Kyassaka tena.!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments: