Mkurugenzi wa Kampuni ya Jayax Development and Training, Jemima Njeri akiongea katika mkutano ulioandaliwa na benki Kuu kujadili na kutatua Migogoro ya kibenki jijini Dar es Salaam jana.
Mameneja kutoka benki mbali mbali waliohudhuria semina hiyo, wa pili kutoka kushoto ni Meneja Masoko wa Benki ya Access, Muganyizi Bisheko wakati wa mkutano ulioandaliwa na benki Kuu kujadili na kutatua Migogolo ya kibenki jijini Dar es Salaam jana.
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT, Lila Mkila (kulia) akisalimiana na Meneja Masoko wa Benki ya Access, Muganyizi Bisheko wakati wa mkutano ulioandaliwa na benki Kuu kujadili na kutatua Migogolo ya kibenki jijini Dar es Salaam jana.


Toa Maoni Yako:
0 comments: